This is us

This is us

Tuesday, August 24, 2010

Flash Mob

The Flash Mob Presentation

First day in MS ActionAid’s Global Change course took a turn none of us had expected. We were introduced to each other and the teachers whom presented our first event. We were going to perform an African dance in the biggest market of Tanzania, Kariakoo, in half an hour. Before that we a dance instructor taught us how to perform in the biggest market in Tanzania called Kariakoo! Everyone was anxious and nervous for what where going to happen when the music started playing, but all of a sudden we were performing in front of more than one hundred people! The Tanzanians did not understand what was going on and more and more people came to see the performance – one of the local even joined in dancing! This was a good experience which broad us together as a team and taught us something about what we are capable of doing even with just very short time of preparation. Next time when we go to present a ‘flash mob’ we will suggest having a clearer message according to the problem in society we are fighting against in our campaign.



Kwa siku ya kwanza msactionaid imeweza kuanza warsha ya mabadiliko ya dunia kama wanafunzi tumeweza kujitambulisha na waalimu walitueleza kwamba tutaenda kucheza kwenye jukwaa katika soko la kariakoo. Kwa nusu saa tulikuwa na msanii wa kizazi kipya alietufundisha namna ya kucheza, kwa ujumla hakuna aliyejua nini kinaenda kufanyika. Na tulipofika mara wimbo ukaanza na ghafla tukaanza kucheza mbele ya watu zaidi ya mia moja watu hawakuelewa kilichokua kinaendelea lakini walivutiwa na namna tulinyocheza. Watu wengi walikuja kuangalia namna tunavyocheza na baadhi walivutiwa na kuungana na sisi kucheza hii inaonyesha namna walivyovutiwa na jukwaa. Tukio hilo lilikuwa zuri na limetujengea uwezo kama kikosi kazi na kutufundisha ushirikiano kwa mda mfupi, tunashauri kwa wakati mwingine tutakapoende kwenye jamii ni muhimu tuwe na ujumbe maalum unaohusu jamii husika.

No comments:

Post a Comment